Kwa nini Raisi Obama adukuliwe?

Kwa hizi email zilivyo, aliyedukuliwa (in my opinion) ni huyo Podesta na sio Obama moja kwa moja.
 
Marekani ina sifa tu za kijinga kila kitu wanataka wawe wao tu sasa kuna wengine wanafukuza mwizi kimya kimya na ndicho hiki tunachoona.
 
Kwa hixi email zilivyo, aliyedukuliwa (in my opinion) ni huyo Podesta na sio Obama moja kwa moja.

Mkuu hapa tuseme ni wote tu.
Walikuwa kwenye mazungumzo mtandaoni bahati mbaya taarifa zao zote zimevuja.
 
Conspiracy theory hiyo, hakuna chochote kilichovuja, na kama kuna taarifa zimevuja ni wao ndo wanavujisha tena zinakuwa ni za uongo ili kuwachanganya watu wasijue kinachoendelea.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mkuu wachanicheke kidogo
 
Marekani ina sifa tu za kijinga kila kitu wanataka wawe wao tu sasa kuna wengine wanafukuza mwizi kimya kimya na ndicho hiki tunachoona.
Ni kweli Mkuu Na wakishakamatika Wataanza kuleta mambo yao Yaleee ya Propaganda ili waufiche ukweli
 
Kuna professional hackers wa hatari sana,hasa Israel mkuu
Hilo nalielewa mkuu wangu.
Lakini kinachonishangaza ni kwamba mfumo wa Mawasiliano wa Marekani ni hatari sana. Mfano mzuri tu THE PENTAGON wanatumia kompyuta za mwaka 1975 ambazo zote zimetengenezwa na Marekani. Kikubwa zaidi hazina mlango wa nyuma wa mtu kuingia kirahisi. Kama PENTAGON wako hivyo unategemea mfumo wa kumlinda raisi utakuwa dhaifu kweli?

Kama ni wadukuaji wamepenya mifo ya namna hii basi ni dhahiri wamekubuhu sana.
 
Kwenye ulimwengu wa TEHAMA hususani hacking hakunaga mbabe.

Kudukuliwa kwa mawasiliano ya Obama ni ishu ya kawaida sana kwenye ulimwengu wa Tehama na hakuifanyi Marekani kuvuliwa nguo.

Kuna kitu kinaitwa hole, kwenye IT ukigundua hole unaiziba tu unasonga mbele.

Unaweza kukuta hata hio hole imetengenezwa makusudi ili kuweza kudukua wadukuaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…