Kwa nini PC inafanya hivi......

Kwa nini PC inafanya hivi......

idris7

New Member
Joined
Oct 15, 2018
Posts
1
Reaction score
1
Mimi Nina PC ambayo nimenunua hard drive mpya numeingiza winndow 7 nikiwasha inasema windows haijakamilika ni hi install upya nimeambiwa mother board mbovu nikweli!??
 
Imeditect alipo mo sasa inaogopa kutoa sirii inaamua ikueke pahali salama maana ukipata hio 1b utaitelekeza uhamie kwe mac
 
Imeditect alipo mo sasa inaogopa kutoa sirii inaamua ikueke pahali salama maana ukipata hio 1b utaitelekeza uhamie kwe mac
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
magofu yote yaliyo jilani, yangu, kichaka au msitu vyote nimepita leo kumtafuta MO yaani 1B cyo kitu kidogo.

Hawa natafuta namba za waganga wa Nigeria au kongo nasikia wako vzr waje tupige ramli yaani. hiyo cyo kubahatisha kama BIKO AU 3MZUKA.

IB..hatakama huna mkaa vyakula laini unachenji jero jero unatumia badala ya mkaa..

Mhudumu..Ongeza kinywaji kingine...
 
Back
Top Bottom