Imekuwa ni janga si tu katika nchi zetu za ulimwengu wa tatu bali hata katika ulimwengu wa kwanza. Naomba tujadili kwa umakini mkubwa kiini cha tatizo na jinsi ya kukabiliana nalo...maana maisha na ustawi wa mwanadamu unakuwa hatarini katika ulimwengu usiokuwa na familia zinazosimama katika mstari unaopendeza mbele za Mungu.