Kwa nini nasema CCM itashinda Igunga

Umetumia muda wako wote kuandika huu upupu?
CCM itashinda kutokana na sera nzuri zinazomnufaisha mwnanchi. That's all

Rejao, as always: proving your foolishness. Magamba could win in Igunga only by poll rigging and in as much as you must be aware there's evidence of this. Nevertheless, magamba will rely on using the police, ffu etc, BUT not because of your good policy.
Hata nyie mwajijua kwamba you stink!
 

Speculating and distorting.
 
Wenye matokeo wayatoe, lakini kutokana na maelezo ya ITV leo asubuhi inaonekana ccm inaongoza maeneo ya vijijini. Taarifa ya ITV inasema kuna baadhi ya watu kutoka maeneo ya vijijini waliokuja kupiga kura walikuwa hawajui kusoma wala kuandika, wapo waliokuwa hawajui hata lugha ya kiswahili. Kama nilivyotabiri awali ccm itashinda si kwamba wana tekeleza sera nzuri ni kwa sababu ya ujinga na elimu finyu ya watu vijijini. Ni hapo serikali hii pumbavu itakapoamua kupeleka watu shule ndipo ambapo macho ya watu yatafunguka.
 
there is no right way ccm can win unless rigging!
 

Sasa hata km CDM wangeshinda hayo maji masafi wangeyatoa wapi bila kuipigia magoti serikali ? ingekuwa aibu kwa CDM kushinda then wanatekeleza ilani ya ccm , ni bora wameshindwa !
 
there is no right way ccm can win unless rigging!

Hayo wasema ww ila wananchi wanaikubali ndio maana wanashinda. Niliisha wahi kuandika humu JF kukusanya uwingi wa watu sio kwamba ndio mshindi, lakini sijui kwa nn cdm hawaelewegi hili, unaona sasa aibu waliyoipata na rasilimali walizo poteza
 
Sidhani kama uchambuzi wako unajitosheleza. Unaposema watu wa Igunga wana uelewa mdogo una maana gani? Kama ni hivyo hiyo ni hali ya nchi nzima tu wala sio Igunga peke yake. Isitoshe watu wanaangalia sera za chama ndizo wanapigia kura.

hujaelewa wewe soma tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…