Wadau salam sana.
naandika kwa uchungu sana kitendo cha kukala usiku kucha bila umeme kwangu na majirani zangu lakini TANESCO Kinondoni North hawapokei simu zao. Ni kwa nini wameziweka??kwa nini wanadharau ari ya Waziri wao Profesa Muhongo kutujali wateja??je viongozi wa TANESCO Kinondoni wameweka utaratibu gani wa kujua kama anayekaa emergency kweli anafanya kazi??kuna register yoyote ya malalamiko ya wateja na muda waliopiga??toeni tu hizo namba kama hazitumiki