Katika mambo mengine ambayo Nyerere alikosea ni kuweka makao makuu ya nchi Dar es Salaam kwa Waswahili baada ya uhuru.
Mambo yote yasiyo na tija yanafanyikia Dar es Salaam, wakazi wa Dar es Salaam ni watu wa "shughuli" zaidi, starehe, umbea, udaku na kupiga maneno. Bahati mbaya sana Dar es Salaam imebeba 10% ya raia wa Tanzania na mauzauza yote yanayofanyikia hapo inaonekana kama ni uwakilisho wa Tanzania yote.
Fikiria kama makao makuu ya Kenya yanagekuwa Mombasa au Lamu badala ya Nairobi.
Mji mkuu wa Tanzania ungekuwa Arusha, Mbeya au Mwanza kungekuwa na utofauti mkubwa sana.