brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,301
Nimeshawahi kuwauliza baadhi wakasema wanapovaa hizo nguo na kujiangalia kwenye kioo hawaoni kama ni fupi.
Tatizo linakuja pale wanapoanza kutembea ambapo nguo inaanza kupanda juu.
Basically, argument yao ni kuwa they don't do it on purpose. It could also be that it is just unconscious reaction.
So, inawezekana kuwa kwa kuvuta nguo fupi chini hawana maana yoyote iliyojificha au nguo ni fupi sana kwao.
Sawa na baadhi ya wanaume wanaopenda kuzungusha suruali kiunoni (remember enzi za mayenu), kushikashika mkanda kiunoni, ku-tight kamba za viatu au labda kushika zipu ya suruali mara kwa mara kucheki kama imefungwa?
But I always like watching out women body language because some wanaweza wakawa wanavuta nguo chini on purpose.
Chezea watu waliotoka sayari ya Venus wanajua kama mtoto anaumwa hata ni mchangamfu as usual?
Aisee kila mtu na mawazo yake...nikivaa nguo fupi nakuwa nimedhamiria kabisa so hio argument ya kwamba hakujua akitembea itapanda is just lame
