Kwanini msafara wa gari za CHADEMA huamsha watu sana?

Bombabomba

JF-Expert Member
Dec 23, 2017
1,725
2,007
Leo nimepita mitaa fulani nimepishana na fordranger M4C mbili, na dinga 4 nyingine ikiwemo ya KUB. Hakika nikaona watu wanaulizana na kushangaaa. nikamsikia mkaka anasema hawa jamaa hatari sana. nikamuuliza kivipi, kajibu tunawakubali sana na tunawasubiri.

Nimepita soko kuu nakuta bodaboda wanazungumzia kuwamiss chadema sana. naamini wataporuhusu siasa za majukwaani.

Naomba mwenye picha ya zile gari M4C atuwekee hapa, hupendeza kuziona tu.
 
Jipeni moyo tu! Zitto keshakuwa mzito kwenu.
 
People’s POWERRRRRRRR ✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾

Leo nimepita mitaa fulani nimepishana na fordranger M4C mbili, na dinga 4 nyingine ikiwemo ya KUB. Hakika nikaona watu wanaulizana na kushangaaa. nikamsikia mkaka anasema hawa jamaa hatari sana. nikamuuliza kivipi, kajibu tunawakubali sana na tunawasubiri.

Nimepita soko kuu nakuta bodaboda wanazungumzia kuwamiss chadema sana. naamini wataporuhusu siasa za majukwaani.

Naomba mwenye picha ya zile gari M4C atuwekee hapa, hupendeza kuziona tu.
 
Mzigo huo
Screenshot_20190425_062007.jpeg
 
Watu wamemiss matusi yao tu hakuna jipya
 
Kwanza umeandika kwa mapenzi wawea kuwa mfuasi wa CDM lakin pamoja na hiyo CHADEMA hupaswi kuibeza ina wafuasi zaidi ya milion 3 nchi nzima hivyo lazima iwe tofauti na ACT CUF NLD na vyama vingine, ila bado haijawa na wafuasi kama CCM chama chenye wafuai kila kona ya nchi kila upande wa wilaya kila upande wa kata na kijiji,

Lakini pia maeneo uliyoyataja ya wafuasi ulipouliza au uliposikia wakisema wanawasubiri CDM ni wale wasiokuwa na kazi waliokata tamaa na CCM wanaosubiria mabadiliko kutoka kwenye vyama bila wao kujishughulisha kufanya kazi,
 
Leo nimepita mitaa fulani nimepishana na fordranger M4C mbili, na dinga 4 nyingine ikiwemo ya KUB. Hakika nikaona watu wanaulizana na kushangaaa. nikamsikia mkaka anasema hawa jamaa hatari sana. nikamuuliza kivipi, kajibu tunawakubali sana na tunawasubiri.

Nimepita soko kuu nakuta bodaboda wanazungumzia kuwamiss chadema sana. naamini wataporuhusu siasa za majukwaani.

Naomba mwenye picha ya zile gari M4C atuwekee hapa, hupendeza kuziona tu.
Ndinga ile aliyoizungumzia CAG imo kwenye msafara?!
 
Leo nimepita mitaa fulani nimepishana na fordranger M4C mbili, na dinga 4 nyingine ikiwemo ya KUB. Hakika nikaona watu wanaulizana na kushangaaa. nikamsikia mkaka anasema hawa jamaa hatari sana. nikamuuliza kivipi, kajibu tunawakubali sana na tunawasubiri.

Nimepita soko kuu nakuta bodaboda wanazungumzia kuwamiss chadema sana. naamini wataporuhusu siasa za majukwaani.

Naomba mwenye picha ya zile gari M4C atuwekee hapa, hupendeza kuziona tu.
Yawezekana kabisa mtaa uliopita ni mtaa wa watu wanaokaa tu na kulalamika hali ngumu halafu kazi hawafanyi.Pia chadema ni chama cha wapiga dili na wabaguzi hilo linafahamika,acha kutudanganya na siasa zako uchwara.
 
Back
Top Bottom