Kwa nini Mramba wa TANESCO alifukuzwa?

Kwa nini Mramba wa TANESCO alifukuzwa?

Rutakyamilwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2009
Posts
1,871
Reaction score
1,242
Sasa hivi ndio imekuwa worse, umeme shida tupu. Huyu uliyemuweka mbona kashindwa tangu jana? Wameshindwa kabisa, wanakudanganya, hawakwambii ukweli maana utawatumbua.
Total failure! Tunalala, tunashinda bila umeme
 
Muhongo alikuwa vzuri sana ,
 
Tanesco kuna jipu, mh rais aliangalie kwa ukaribu, haiwezekani Umeme ukatike mfululizo
 
Vyanzo vya umeme,uchakavu wa miundombinu,management.
 
Mramba alikuwa safi sana
Tena sana, kupata MD kama Mramba itachukua muda sana, na tanesco inaingiliwa sana na wanasiasa, waiache tanesco yenyewe iendeshe kazi zake kama ilivyo mashirika mengine ya umma

Nahakika litakuwa shirika bora kabisa kwa ukanda wetu wa Africa mashariki

Pili MD aliyepo kwa sasa shirika limeishamshinda, arudi chuo kufundisha tu
 
Back
Top Bottom