Kwa nini mapenzi ya vyuoni huisha baada ya kumaliza masomo?

Basi likifika mwisho wa safari huna budi kushuka ili kuwapisha wengine wanaoenda kwengine
 
Sio kweli. I have been with her, this is the third year now. Ye akiwa chuo na mie kitaa tena mkoa na maisha yanaendelea. Kikubwa ni commitment
 
Ukimaliza kula ndizi Ganda utaendelea kushikilia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…