HEHEHEHEHE!Hapo mpwa umeua, sasa wenzao wajasiriamali huwa wanakupa kidogo ila wanaomba nyingi, kwa mfano unaweza kushangaa from nowhere unaongezewa buku tano kwenye simu lakini baada ya siku mbili unapigwa mzinga wa vocha buku thelathini. Au unamsindikiza shopping anakununulia wallet 25k hala mkiingia duka jingine anataka kipochi cha 65k.
naomba nimsaidie burn,duh! burn unaongea kaa mtaalamu wa hiyo shughuli ya kuhonga wadada bila kutaka! l
Mpwa jana ulinilostisha nilisha ikoki tuktuk nikaaishia kwa Kinibu kula mdudu.
unakaribishwa chawote tulishambulie jukwaa!sisi hatutakuwa na incoviniencesHahaha! Nilipewa kazi ya kumchoma mburu mee huku serengeti ikiwa pembeni. Nikalowea mpwa. Sore!
Hahaha! Nilipewa kazi ya kumchoma mburu mee huku serengeti ikiwa pembeni. Nikalowea mpwa. Sore!
Nilitaka unipeleke kile kiwanja kipyaaaa nikaone hao wanao kabidhiwa ATM
binti mdogo mambo makubwa sana najaribu kuwaza na kuwazua hapa bado ni hadithi za alfa lela ulelaNani alikudanganya binti mdogo anadroo laki 6 kwenye akaunti ya mwanaume? Stuka mama!
ooh!wakuu nawakimbia jamani
ooh!wakuu nawakimbia jamani
unaenda wapi geoff ? leo ndo zamu yako kupika haki sawa majukumu kwa wote
Hehehe anawahi sokoni kununua nyanya, nyama, vitunguu n.k
wakuu, hv kwa nini wanawake wengi huwa wanaona kama halali yao kuhongwa? s wote, lakini asilimia kubwa ya wanawake akiwa na mshkaji anaona matatizo yake yanaishia hapo...mara nataka vocha!, mara losheni!
mkitoka auti kulipa bill tu mziki!....si wasomi, si wa uswahilini!
hili tatizo ni kwa
wanawake wa tz zaidi..
Wanawake wa kenya sio sana.
Nilikuwa na girlfriend mkenya..
Nikimnunulia zawadi na yeye ataninunulia kwa pesa yake.
Hakuna kubeep wala kuomba vocha.
Wanawake wa kibongo wana mazoea ya kupewa tu.
Sijui ni nini?
teh teh teh! Sisi ni wanyama muzee, JIKE na DUME ni sawa tu.
Ila pia ukumbuke kuna hulka na silika, hivi hutofautisha unyama wetu na kubariki ila hadhi aliyotupa muumba
kumbuka pia kuna tofauti kubwa sana kwenye lugha kati ya kwenda haja kubwa na kunya!