Kwa nini maandamano October 29 yalifeli?

Sijasoma bandiko lote ila mwambieni anakatwa na mwijaku
 
Stupid MoFo, siku zako zinahesabika, be careful out here
 
Tokapa
 
Kenge maji wewe .

Ulikuja na andiko lako lakisenge, óhooo Hakutakúa na MAANDAMANO, ukawa proved wrong.

Leo unaleta Usenge, Tunaelewa, kwakua umekua Exposed, unaigiza kamà Mayalla !!


Tutawashughulikia tu.
 
Kenge maji wewe .

Ulikuja na andiko lako lakisenge, óhooo Hakutakúa na MAANDAMANO, ukawa proved wrong.

Leo unaleta Usenge, Tunaelewa, kwakua umekua Exposed, unaigiza kamà Mayalla !!


Tutawashughulikia tu.
Mapunga mengi humu JF na hilo likiwa mojawapo 😹
 
Maandamano yamefanikiwa hivyo wewe unasema yamefeli?

Haya Maandamano yamevuka mno malengo.
 
tujikite pale uliposema "WABONGO HAWATAANDAMANA"

achana na uchambuzi uchwara
 
Twuzi wapi huyu, kuna makondoo wenzake wanamsifu eti anajua sana, kwahyo nayeye kichwa kinajaa makamasi anajikuta anaandika magazet
Unafki ni kitu kibaya sana.

Jamaa ana vimelea vyote vya unafki.
 
Kwa heshima yake binafsi na kwa kunusuru laana za vizazi vyao;

Iwe mauaji yale yalitokea pasipokuwa na amri zao, iwe yalitekelezwa na askari wasiokuwa chini yao ama vinginevyo; IGP na makamanda wa mikoa yote ambayo imeua watu kama Dsm, Mwanza, Mbeya, Songwe, Arusha na kwingineko; walitakiwa wawe wameshaandika barua za kujiuzuru nyazifa zao sambamba na Mkuu wa majeshi bila kumsahau yule wa mkuu wa wakusanya taarifa TISS

Hao wakijiuzuru angalau watu machungu yatapungua hata kama watadhani "ni michezo yao"
 
Kazi ya polisi, Usalama Kwa Africa ni kazi ya laana, na watanzania Kwa Sasa msipeleke watoto jeshini mpaka reforms zifanyike namna Jeshi liwe hawa mbwa kazi zao ni zipi? Siandamani bila chuma na atakae ua raia saivi tunaye mpaka kitaa
 


Walikuwa wakiimba jeshi 😁😁😁propaganda za Mengi zakijinga Sana ile wanadandia gari la jeshi ahaaa .

😁😁

RIP my buddies wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…