Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 7,964
- 15,506
Police ndio waliokuwa wauaji wenyewe , video zipo kila Kona tena na wengine na uniform na magari yaoMaandamano hayakufeli, waliofeli ni wale waliotakiwa kulinda waandamanaji i.e Polisi.
Polisi wangetimiza wajibu wao, hakuna mali ya mtu hata moja ambayo ingeharibiwa, wao walipaswa kuwaongoza waandamanaji wa-raise concerns zao wanazozitaka. Badala yake polisi wakajikita na vitisho na kuanza kuwa-shoot raia.
Mpaka jeshi linaingia road kuwalinda waandamaji ina maana intelijensia ya uhakika ilikuwepo kwamba maandamano yapo na walikuwa na wana uhakika polisi wanachoenda kukifanya.
Malengo ya waandamaji yamefikiwa kwa 150%. Kwa sababu kinachoenda kutokea sasa hivi ni reforms, wapende wasipende!
Kwangu naona yamefanikiwa kwa vile nilikuwa najua kabisa hakuna kijana hata mmoja wa Tanzania ataingia mtaani! Ukikumbuka zile command za Mh. Murilo Telewa unajua kabisa vijana wataufyata! Lakini mwisho wa siku kamanda alihama nyumbani kwake!Mafanikio yake ni ile kuonekana yalifanyika
Lakini tukirudi kwenye malengo ni kwamba yamefeli.
Kwa sababu swali litaulizwa, kwa nini watu waandamane?
Kisha litafuata, je madai ya maandamano yamejibiwa walau dai hata moja? Au malengo yamefikiwa?
Ni kwamba hayajafikiwa.
Alafu jamaa anasema yalifeli😀Police ndio waliokuwa wauaji wenyewe , video zipo kila Kona tena na wengine na uniform na magari yao
Uzi wowote ambao nikiona tu mwandishi anaanza kwa maneno ya selfe defence (kutengeneza backup ya kumlinda) najua hapo hamna kitu zaidi ya bias na uzugaji.
Unaposema maandamano hayakuzidi masaa 6, ulitakiwa utuambie hii umeitoa kwa mujibu wa tafiti gani?
Au lah utuambie fact yako imezingatia muktadha wa eneo dogo ambalo wewe ulikuwepo kwenye hiyo siku.
Lakini ku generalize kusema maandamano hayakuzidi masaa 6, huo ni uongo pure.
Wajinga kama hawa ni kuwapiga ban Tuifike wakati jf iweke utaratibu wa mtu akipost upuuzi kama huu apigwe ban ya milele,
sio huyu huyu kenge alisema hakuna wa kuandamana, leo anakuja na uchambuzi uchwara, mtatoa miguno yote wallah, na badooo
Mtapigwa mpaka mchakae kama mbwa koko.Jiandae wave two ya maandamano Gen Z wana salamu zako muhimu kipindi hiki wameomba usizime simu kama ile siku ya uchafuzi mkuu.
Kwangu naona yamefanikiwa kwa vile nilikuwa najua kabisa hakuna kijana hata mmoja wa Tanzania ataingia mtaani! Ukikumbuka zile command za Mh. Murilo Telewa unajua kabisa vijana wataufyata! Lakini mwisho wa siku kamanda alihama nyumbani kwake!
Mimi naviomba vi Gen-Z vije tena kabla mwaka haujaisha na safari hii vijitoe muhanga kabisa maana havina cha kupoteza maadamu wenzao wameshauawa!Kwa kiasi mafanikio yapo hasa kwa vile ni mara ya kwanza.
Lakini tukija kwenye malengo. Haifiki asilimia hata 30% kujitokeza ndio angalau inaweza kuwa asilimia 20%
Makosa yaliyofanyika ni vurugu na wezi kujichanganya na waandamanaji. Hivyo badala watu wasonge mbele wengi walijikuta wanaenda kuiba.
Hauna akiliMtapigwa mpaka mchakae kama mbwa koko.
Kama una jiamini basi jaribu uingie na kupeleka pua yako barabarani. Utapigwa mpaka usahau jina lako.Hauna akili