meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,829
Kwa mida wote alioongea na kuwasalimia wanaChadema Ndugu EL hajatumia salamu hii ya kawaida sana kwa wanachadema?
Leo askari wa mirembe lazima waadhibiwe kwa kuachia wagonjwa wengi huku mitaani kama weweKwa mida wote alioongea na kuwasalimia wanaChadema Ndugu EL hajatumia salamu hii ya kawaida sana kwa wanachadema?
Na alikuwa akiaddress ukawa,ccm na watanzania in general.