Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Takwimu za Uchaguzi zinasema walipata kura milioni 6 dhidi ya zaidi ya kura Milioni 8 za CCM ambayo ni tofauti ya kama kura Milioni 2 au karibia 20% ya kura!
Kwa hali ya kawaida kupata kura Milioni 6 siyo kitu kidogo hivyo ningetemea chadema, Lowasa & Co. wawe na kibesi fulani, lkn hawana chochote, juzi kati nimemsikia Lowasa akililia kupewa ukumbi na Mkuu wa Mkoa wa Dar, hii ni ajabu sana!
Chadema waliiba kura kwa maana hakuna ushahidi wowote kwamba walifikisha hiyo idadi vinginevyo tungeshaona au hata kusikia tu uwepo wao!
Je wapiga kura Milioni 6 wa chadema wako wapi?