Kwa nini kila kinachokusudiwa kufanyika nchini Tanzania kinapata mkwamo

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,542
Situation hii inanisikitisha sana mipango haiendi vizuri kwa 100%, mikosi inainyemelea Tanzania nikianza na Airbus south africa ,bomba la mafuta kutoka Uganda naomba tukazane kusali kila mtu na Mungu ili mipango ya Tanzania hasa mradi wa umeme rufiji megawatt 2100 uweze kukamilika
WATASHINDANA LAKINI HAWATASHINDA.
 
Hoja yako haina mantic ndege walipanga na wamenunua kuamia Dodoma bwawa la umeme linajengwa
Nikuulize Rais wako alipanga lini awe amehamia dodoma,unafikiri label ya airtanzania inatazamwa vip huko nje acha kujibu kwa pupa poyoyo wewe.
 
Back
Top Bottom