kwa nini interviews zifanyike DAR

kayungi

Member
Joined
Jun 11, 2010
Posts
14
Reaction score
6
Ndugu zangu
Nimefurahishwa na kitendo cha TRA kuamua kuwapunguzia gharama wanaoomba kazi kutokea nje ya Dar kwa kufanyisha interviews kikanda na taasisi nyingine zifanye hivo ili waombaji wa mikoani wasilazimike kusafiri mpaka Dar

Mungu awabariki
 
Mwanzo walikuwa wanafanya hivyo kabla sizonje hajasitisha ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…