Una mungu au Mungu/MUNGU, kama ni mungu basi hapo tayari una shetani, maana hata katika Maandiko Matakatifu huwa twaambiwa pia kuwa mungu wa dunia hii ni shetani.Mizimu? Sisi hatuna mizimu.tuna mungu tu
Popo bawa huyo anakutafuta mkuu, nicheki nikusaidieWakuu ,poleni kwa utafutaji,
Kwa najua humu siyo mahala pake ila kuna wasomaji wengi humu watanisaidia kwa hili jambo.
Nimekuwa na kawaida nikiwa nimeenda kula iwe kwa mamantilie,au hoteli,au hizi sehemu za kuuzia chakula kazini nikimaliza kula nikilipa ela lazima chenji izidi na siyo mara moja mara nyingi sana hii hali inanitokea,
Au pia nikipanda daladala mara konda atanipita tu bila kuniomba ela.pia ni mara nyingi sana.
Ila kwenye hizi sehemu za kula huwa nawarudishia ila kwa konda niseme tu ukweli nakaa kimya mara sisemi .
Nauliza swali nafanya makosa kurudisha ile ela kwa sehemu hizi za kula ? Au kwa konda pia niendelee kukaa kimya?
Haya mambo ni ya kishetani zaidi. Yaliwahi nipata nikawa najiona mwenye bahati hasa madukani na mabasi au daradara.Wakuu ,poleni kwa utafutaji,
Kwa najua humu siyo mahala pake ila kuna wasomaji wengi humu watanisaidia kwa hili jambo.
Nimekuwa na kawaida nikiwa nimeenda kula iwe kwa mamantilie,au hoteli,au hizi sehemu za kuuzia chakula kazini nikimaliza kula nikilipa ela lazima chenji izidi na siyo mara moja mara nyingi sana hii hali inanitokea,
Au pia nikipanda daladala mara konda atanipita tu bila kuniomba ela.pia ni mara nyingi sana.
Ila kwenye hizi sehemu za kula huwa nawarudishia ila kwa konda niseme tu ukweli nakaa kimya mara sisemi .
Nauliza swali nafanya makosa kurudisha ile ela kwa sehemu hizi za kula ? Au kwa konda pia niendelee kukaa kimya?
Lakini mimi sijui hata njia ya kwenda kwa mganga,na sina imani kwenye uganga mkuuHaya mambo ni ya kishetani zaidi. Yaliwahi nipata nikawa najiona mwenye bahati hasa madukani na mabasi au daradara.
Tena wakati huo nilikuwa mtu wa kusafiri tu.
Ni baada ya kwenda kutibiwa na mganga mmoja hivi akawa ananiambia atanipa nyota ya bahati.
Kweli yalikuwa yanatokea yote hayo ila tatizo langu lililonipeleka kwake hakulitibu jumla lilikuwa linajirudia rudia.
Nikafanya maamuzi ya kuwa upande wa Mungu tu.
Nilipoombewa na kuanza kusali na kufunga ndipo nikapona jumla jumla.
Ila hayo mambo yapo. Mm ilifikia hatua nikawa naogopa ila kwa upande wa nauli sikuwa naogopa. Maana hata konda alinipatia ticket bila kuchukua pesa.
Nilishangaa sana.
Umenikumbusha mbali mtoa mada.