Kwa nini iko hivi.

JembePoli

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
1,324
Reaction score
1,000

Maswali yangu huwa yanakosa majibu.
1 hakuna watu wanaoweza kutumia hiyo barabara/kuishi huko?
2 ni jeuri tu ya kuanza kuishi upya mijini
 
Maswali yako ni ya kitoto ndo maana hayajibiki
Hayajibiki na watoto kama wewe,wakubwa na wajuzi wa mambo ya ki jiografia watayajibu tu,nikushauri tu usibandue macho yako wakija wajuzi uwasome
 
Mimi nahisi hayo ni maeneo yaliyo special kwaajili ya movie. Najaribu kuringanisha mandhari ya movie kama walking dead,Revolution, inaonekana ni maeneo yaliyokuwa yanakaliwa na watu zaman lakn kwasasa hayana watu. Ni sina hakika ila ni fikra tu
 
Nahisi hayo mazingira hayapo sehemu yoyote ile duniani
Yapo kwenye movie tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…