mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
mie sijaoa sababu cku napiga bajeti na girlfriend wangu just roughly ilifika 15 milion.
Bado nipo mpaka nijipange
bado nawa gegeda kwanza
mie sijaoa sababu cku napiga bajeti na girlfriend wangu just roughly ilifika 15 milion.
Bado nipo mpaka nijipange
Kila mtu ana sababu zake, mimi kwa kweli bado sijapata wa ukweli........maana kila ninayempata after 2-3 months tunamwagana.
mie sijaoa sababu cku napiga bajeti na girlfriend wangu just roughly ilifika 15 milion.
Bado nipo mpaka nijipange
^^
Sijampata
^^
ikizingatiwa kuwa wanaume ndio initiators wa ndoa /wenye maamuzi ya kuamua.toa sababu yako hapa why mpaka leo bado hujaamua kuoa while everything including ur age vinaruhusu.......
Nothing but the Truth

Nina jamaa yangu aliulizwa hilo swali..
Akasema hadi akutane na msichana ambaye ajapitia phase na mwanaume mwingine.. Wadau wakamjibu naona unasubiri kudanganywa..
Anakwambia wanawake wenyewe washachezewa sana na X wao halafu yeye ndio awe ----- akalipishwe mahali na abebe jumla makapi.. Tulicheka sana reason aliyotoa lakini tulimwelewa...