HahahahahahahaAsa kwanini niolewe?
dahAsa kwanini niolewe?
Ile kitu isipopata mwenza huwa kunachangamoto huko mbeleniAchana na kuku..toa sababu za kibinadamu
Umecheka nini sasa?
We mwenyewe hujakua ungekua umekua usingeuliza swali la kilofa kiasi hiki.Ukikua utajua namaanisha nini....
Kitu ipi?Ile kitu isipopata mwenza huwa kunachangamoto huko mbeleni
Hamna mlevi tenaa? Ndoa zenyewe ndo hizi kila siku nyuzi za malalamikoKuna umri ukifika utatamani hata mlevi wa gongo akuoe
[emoji38][emoji38]Mungu akujalie watoto wa kike halafu utapata jibu kwanini hawaolewi pumbavu sana.
ha ha ha ha kama vipimo ni -ve weka mezani mabaharia watakuja hukoNina NY.ege miyeee
SafiWe mwenyewe hujakua ungekua umekua usingeuliza swali la kilofa kiasi hiki.
ha ha ha 38 sijakuwa bado....Yaani Wewe ungekuwa umeshakua usingeuliza swali la kijinga kama hilo.
Akili zako hazijakua. Ungewauliza waoaji mbona hawaoi labda ungepata majibu ya uhakika.ha ha ha 38 sijakuwa bado....
ha ha ha ha haMungu akujalie watoto wa kike halafu utapata jibu kwanini hawaolewi pumbavu sana.
Mkuu una watoto wangapi hawajaolewa?We mwenyewe hujakua ungekua umekua usingeuliza swali la kilofa kiasi hiki.
Umeshaelewa,ila unanichora tuKitu ipi?
Hizi jitihadi,tunazotakiwa kufanya ni zipi mkuu, je tuanze kuwatongoza pia?, mi naamini ukifika mda sahihi kuolewa kupo tuUko sahihi mkuu,lakini bila kuwa na jitihada usitegemee bahati
ha ha ha ha haHamna mlevi tenaa? Ndoa zenyewe ndo hizi kila siku nyuzi za malalamiko