Elections 2010 Kwa nini Clouds FM wanatisha wananchi?

Mi nilishaacha kuisikiliza hii Radio maana imejaa wajuaji. Nimehamia Radio one. Ngoja waendelee na huu mwendo walionao waone watakakofika.
 
Clouds FM inatangazia wananchi kwamba kuna watu wanahamasisha umwagaji damu. Kisha wanapiga wimbo wa taifa hovyo hovyo jambo ambalo mtu atadhani rais anataka kutangaza Hali ya hatari.

Clouds na CCM wanapotosha umma. Kwa nini CHADEMA wakilalamika na kutoa ushahidi wa wizi wa kura, Clouds na CCM wanatangazia watanzania kuhusu umwagaji damu? Kwa nini wasiambie tume ifute Uchaguzi tuanze upya ili tume isisababishe umwagaji damu? Kwa nini kila Uchaguzi Tume na ccm wanaiba kura halafu wanatuambia tukubali matokeo ili tusimwage damu?

Kwa nini CCM na tume wako tayari kumwaga damu kuliko kutenda haki?
Hatuwezi kutishwa na Clouds wao wanaishi kwa kujikomba na hawajali nchi yetu ila kufanya matanuzi. Nasema hivi kamwe hatuogopi watu ambao wanatishia wananchi. Tunajua haki zetu hatuwezi kuwaogomba vitimbakwitiri wa Clouds wanaweza tu kwenda kujinyonga.
 
Mimi nashangaa hawa jamaa wanajiona wana usemi wa mwisho kwa haki za watu.. Haki ya mtu haipotea huwa inacheleweshwa tuu. Wanataka kutisha watu kwa nyimbo za Taifa! Mawazo ya kitoto sana.. Watu sasa hivi wameamka na hawatishiki katika kudai haki zao na ujinga ujinga wa one way communication kama ya Radio. Wamuite Slaa basi wamuhoji kwa nini anasema anavyosema na sio kusemea upande wanaotaka wao tuu.

Kwanza hao Clouds ndio wako mstari wa mbele kuleta hali ngumu kwa wasanii kwa kuchakachua kazi zao kwa kuuza nyimbo zao kiholela. Ukienda na elfu mbili tatu wanakutengenezea mix ya bongo fleva kwenye CD mwitu. Hivi tunategemea sasa hapo msanii atauza muziki na kupata kipato cha uhakika wakati akitoa wimbo tuu jamaa wanachakachua na unazagaa mitaani? Wanamuziki wa Tanzania wanafanywa masikini na kutegemea viingilio vya mlangoni na watu kama Clouds. Kazi yao kuchoma CD na kuziuza mitaani.
Kikwete, Makame, Kiravu na Ikulu nzima wanajaribisha kuzuia lisilozuilika kama mtu kutaka kuzuia kwenda haja. CCM na hao wote walioko madarakani wataondoka tu madarakani hata kama watataka kuzuia kwenda haja. Watanzania wanataka kuondoa uchafy huo matumboni mwao na ni lazima wautoe.
 
Full Shangwe ndani ya Clouds FM! Wanajimwaga ile mbaya baada ya kutangaza MATOKEO:A S angry:

Kusaga and Co.. History will prove you WRONG :::
 
Wamebweteka hao,kuna mmoja wao nilimaliza nae f.4 miaka kumi iliyopita hajawai ku update elimu yake hadi leo na maisha yake yako vilevile,pale aliyekuwa na akiri ni masd kipanye nae alivyoona aendani nao kifikra zao akaachana nao.WALE WANAONA SIFA KUBWA KUTANGAZA NA KUSAGA KWA KUJUA ULIMBUKENI WAO ANAWAPA MISHAHARA KIDOGO SANA.WALILALAMIKA ANA WAJIBU KWAMBA NAKUFANYIA PROMO.
 
huu ufilauni ni huyu chakula kbonde na jamii yake!
maskini angekuwa mwanakmke labda angekuwa mkuu wa wilaya ila bado anaweza kupozwa kwani ana njia mbadala.
ACHENI KUPOTOSHA WANANCHI!
 
clouds watu wa ajabu sana....huyu Paul James anadiriki kusema tusahau yaliyopita....watu tuibiwe haki zetu alafu tusahau.....wana wazimu nini......hivi wamelipwa kiasi gani mpaka wawe wapumbavu namna hiyo....kweli shida mwanaharamu[/QUOTE
Hayo nimatokeo ya watu waliosomea vyuo vya uchochoroni hujulikana kwa jina la makanjanja, wenyewe wameridhika vijimshahara njiwa wacheni hao mapoyoyo
 
Clouds ni genge la mbumbumbu na wahuni wanaotumia matumbo kufikiri badala ya vichwa. Shame on you and may you perish. Fungeni kambi yenu ya kutangaza udaku na uzinzi. Sasa mmevamia hata uchakachuaji. Nendeni mkauze nyanya ua miili yenu ikizidi.
 
Wale asilimia kubwa ni mamc kwahiyo wanajikomba kwa Jk,waonekane wapojuu ni kiredio chao kinachoishia charize.Tunawatazama na kuwasikia wajueeeeeee
 
hv kwanini jf and co. isianzishe radio station kama walivyo anzisha chama cha siasa kikafa?nadhani wengi wangependa kuendeleza weledi wao huko
 
clouds watu wa ajabu sana....huyu Paul James anadiriki kusema tusahau yaliyopita....watu tuibiwe haki zetu alafu tusahau.....wana wazimu nini......hivi wamelipwa kiasi gani mpaka wawe wapumbavu namna hiyo....kweli shida mwanaharamu

Mie nilidhani Paul James ana busara, kumbe yuko hivyo? Mhh, kaaaaaaz kweli kweli!
 
Jamaa mmoja alikuwa anamuoji DR SLAAAAA, na yule a studio anapeneyezewa maswari.Cha ajabu kabla awajauliza swari DR Slaa alishajua anataka kuuliza nini , walijichora na vimaswari vyao vya uzushi. Walishia kunywa chai ndo hiliyowapereka huko wakafanye fumanizi.
 
watangazaji ni watu walioprove failure ya life so ni vilaza..
kama unaskiza wewe skiza miziki tena baadhi tu

kosa lako unaongea mambo ya msingi kwa sauti ndogo. Watanzania ni vilaaaaaaaaaaaaaaaaaazzzzaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
 
hv kwanini jf and co. isianzishe radio station kama walivyo anzisha chama cha siasa kikafa?nadhani wengi wangependa kuendeleza weledi wao huko

Ingawa unaonekana kukejeli lakini umetoa ushauri ambao utatuvusha kutoka Hapa tulipo. Radio na tv. Wasiwasi wangu tu ni Kama ccm hawatazichakachua kama walivyochakachua IPP media na clouds
 
Mnasikiliza kwanini hao makanjanja? Fanya media boycott.

Mimi nawashangaa kabisa yani mnalalamika lakini kila siku mnasikiliza redio hiyo hiyo, kama mnaona hamuwezi kuacha kuwasikiliza hao wanachama wa C... msilalamike kabisa.endeleeni kusikikiliza na wakiongea vitu ambavyo vinawaumiza vumilieni mioyoni mwenu.
 
Unajua tatizo la media ya bongo ni kupenda masifa, chukua mfano wa wanamuziki wa kizazi kipya walivyorubuniwa, hawajui gharama ya kuingia kwenye siasa, ghafla wateja wanakupa mgongo then what next!you perish. Subiria uwaone wote waliokuwa na Mkwere. Pia clouds ndo hivyo hivyo kwa taarifa za undani ni kwamba kibonde ni swahiba wa JK na pia ni mwana UWT mzuri tu. Binafsi nilikuwa victim wa kibonde some yrs back. Alikuwa awe MC wa sherehe mmoja, lakini jamaa akaitwa ikulu kwenye maandalizi ya shughuli ya mheshimiwa, what happened?hata taarifa hakutupa ikabidi mmoja wetu awe MC ghafla. Namwogopa kibonde kama ukoma
 
Ukisusa unawapa nafasi ya KULA vizuri, dawa Ni ku wa Assassin hawa Wahuni kwanza hawana ulinzi wowote.
chunga domo lako,oooooohooooo!watakupoteza gafla,shauriyako,usizani kama watashindwa kukujua,mdomo uliponza kichwa,ni ushauri tu kwa faida yako.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom