Gurudumu
JF-Expert Member
- Feb 5, 2008
- 2,349
- 261
Clouds FM inatangazia wananchi kwamba kuna watu wanahamasisha umwagaji damu. Kisha wanapiga wimbo wa taifa hovyo hovyo jambo ambalo mtu atadhani rais anataka kutangaza Hali ya hatari.
Clouds na CCM wanapotosha umma. Kwa nini CHADEMA wakilalamika na kutoa ushahidi wa wizi wa kura, Clouds na CCM wanatangazia watanzania kuhusu umwagaji damu? Kwa nini wasiambie tume ifute Uchaguzi tuanze upya ili tume isisababishe umwagaji damu? Kwa nini kila Uchaguzi Tume na ccm wanaiba kura halafu wanatuambia tukubali matokeo ili tusimwage damu?
Kwa nini CCM na tume wako tayari kumwaga damu kuliko kutenda haki?