Kwa nini bei ya simu Rwanda na Kenya iko chini kuliko Tanzania?

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
11,236
29,467
Wakuu,

Kwa wataalamu naomba mniongezee maarifa juu ya hili suala. Kwa nini bei ya simu Rwanda na Kenya iko chini kuliko Tanzania ni kitu gani kinasababisha hiyo hali kuwa namna hiyo? Tafadhali anayeelewa anifungue mawazo kidogo.
 
Simu namaanisha Iphone na Samsung vingine ni vifaa vya mawasiliano mkuu japo navyo huko viko chini zaidi kwa bei
Sawa nashkuru kwa kutambua kuna simu na vifaa vya mawasiliano

Ila bado hujatuambia IPhone 7 kwa Kenya bei hii na tz ni bei hii

Lakin ukumbuke baadhi ya wafanya biashara wa Tanzania wanachukua mzigo Kenya kuja kuuza Tanzania
 
Sio bei tu hata baadhi ya aina za simu ni rahisi kuzikuta zimejaa Kenya lakini Tanzania ziko chache..
 
Wakuu,

Kwa wataalamu naomba mniongezee maarifa juu ya hili suala. Kwa nini bei ya simu Rwanda na Kenya iko chini kuliko Tanzania ni kitu gani kinasababisha hiyo hali kuwa namna hiyo? Tafadhali anayeelewa anifungue mawazo kidogo.
Toa ufafanuzi hapa ueleweke
iphone 7 Kenya sh. ......
iphone 7 Tz sh. .........
iphone 7 Rwanda ......

haya tiririka
 
Wakuu,

Kwa wataalamu naomba mniongezee maarifa juu ya hili suala. Kwa nini bei ya simu Rwanda na Kenya iko chini kuliko Tanzania ni kitu gani kinasababisha hiyo hali kuwa namna hiyo? Tafadhali anayeelewa anifungue mawazo kidogo.
Siyo simu tu bali na bidhaa zingine kama nguo, spare parts, mabati, cement nk nk. Mbaya zaidi hao jamaa wanapitishia vitu kwetu hapa au Mombasa . Lakini bado wako chini kulinganisha na sisi wenye bandari .

Labda kodi
 
inawezekana wenzetu wanatambua umuhimu wa mawasiliano wakati sisi tunachukulia kama anasa hasa ukiona matangazo mengi yanahamasisha mahusiano hovyo kodi zao ziko chini kwa wanaoleta vitu hivyo au ni tamaa za wafanyabiashara wetu kupata faida kwa haraka
 
I phone 11 pro nasikia kwa Rwanda thamani yake ni sawa na 700,000 za kitanzania.......
 
Wakuu,

Kwa wataalamu naomba mniongezee maarifa juu ya hili suala. Kwa nini bei ya simu Rwanda na Kenya iko chini kuliko Tanzania ni kitu gani kinasababisha hiyo hali kuwa namna hiyo? Tafadhali anayeelewa anifungue mawazo kidogo.

Tatizo Kodi Mkuu
 
Fake phone nyingi sana huko
 
wanatumia akili ya kuuza simu kwa resonable price ili watu wengi wawe nazo kusudi kuu ni lazima utapate genye za vocha na bandles sasa hapo ndipo mahala pake na kusudio kuu,Ni kukukamua kwa kwenda mbele maisha yako yote..!
Intellegents matter.
 
Back
Top Bottom