Tauceti Rigel
JF-Expert Member
- Mar 6, 2025
- 201
- 551
Makala hii inachambua uhalisia mgumu wa ulevi, ikionyesha kwamba pombe haifanyi kazi sawa kwa kila mtu. Watu wawili wanaweza kunywa pombe ile ile, lakini mmoja aendelee kustawi huku mwingine akiangamia.
1. Ulevi si Lazima Uwe na Kelele
Wapo walevi wanaoonekana ‘safi’ kwa nje – wana kazi, familia, hata mamlaka – lakini ndani yao wanasambaratika kimyakimya.
Huu ni ulevi wa kimya, unaoleta madhara bila makelele.
2. Mazingira Yanaweza Kukuchelewesha, Siyo Kukulinda
Mlevi tajiri anaweza kudumu muda mrefu kuliko mlevi maskini, lakini hatimaye wote huathirika.
Pombe haichagui kipato – inaangusha wote kwa wakati wake.
...................
...................
..................
Makala Kamili 👇👇👇
www.jamiiforums.com

ULEVI: Kwa nini wengine wanabaki juu (Wanajimudu) wakati wengine wanaporomoka?: Kwa jicho la Huruma tutafakari maisha ya ndugu zetu hawa
Katika maisha ya kila siku, utawakuta watu wawili – wote ni walevi. Mmoja anakunywa kila siku, lakini bado anavaa vizuri, ana kazi nzuri, ana familia yenye furaha, na hana deni la mtu yeyote. Mwingine? Anakunywa vilevile, lakini maisha yake ni hadithi ya huzuni – ameachwa na familia, hana kazi...