AVOCADO SOAP.
Kwa miaka 30 FLP imekua ikitafuta bidhaa za asili ambazo zitasaidia kusafisha, kulainisha na kuacha ngozi iwe nzuri na nyororo.
Na sasa tumeweza kutengeza sabuni ya Parachichi.
Sabuni hii inaweza kutumika Usoni na Mwilini, inasaidia kutakatisha, kulainisha, kuondoa ngozi iliyochanganywa, inaacha vitundu vyako vikiwa visafi na wazi na hivyo utajisikia fresh.
Ni nzuri zaidi kwa wenye ngozi kavu maana inaongeza unyevu.
Imechanganywa na Glycerin, mafuta ya asili yaliyopatikana kutoka kwenye nazi na michikichi.
Yanasaidia kuhifadhi unyevu na kulainisha ngozi.
Zaidi ya hapo ina Vitamin A, B, D na E zinazosaidia kuondoa sumu na kwa kuwa inasafisha na kutunza unyevu hupendelea kufanya kazi hata baada ya kumaliza kuoga.
Ina harufu nzuri ya matunda ya Citrus kama limao nk. ambayo huiacha ngozi katika hali ya usafi, nyororo na harufu nzuri siku nzima.
Kupata yako na maelezo zaidi piga; WhatsApp; +255 719 700 745.