Kwa nafsi yangu nampenda sana lakini hana sifa za kuwa mke wangu

Nimechekaa sanaaa kwa hii statement mkuu( hata kupika akijaga geto hataki anachonikera zaidi kuja geto kwangu kupaka ma sanitizer yake kwangu kama mganga anapiga ramli)
Mkuu huyo mwanamke ni wife material ila unahitaji mkakati wanamna ya kumbadilisha
Ushauri pata mda ukae naye ufahamu malengo yakee na wewe ili usije ukaingia kwenye mtego wa kuzaa na wewe na mwisho baadaye uko kwenye ndoa yako akaja kukuaharibia mood
ni bora uvumilie utafute mtu sahihi umuoe uzae naye kwa amani na ndoa yako iwe na amani mkuuu
Au kama unamuhitaji huyo mtu Piga kitu atatuliaa tuuu na wewe na unaoa vizur na maramli yake yanaisha mkuu

Natumai ushauri huu utakufaa mkuu
Kibori Nangai

Hii ndo sababu niliamua kuwashilikisha wakuu wangu
umenena vema sana kwa kuwa tunaskilizana ngoja njaribu mawazo yeNu
 
Habari zenu wakuu,

baada ya kuangaika na shughuri za kujenga uchumi wangu binafsi na kutengeneza maisha kuwa mazuri kwa ajiri ya kujenga familia kila siku mambo yanazidi kuwa magumu

Nipo kwenye mahusiano na bidada mmoja mwenye financial freedom yake lakin shida ni kuwa Ananata sana. Binafsi yangu nampenda sana lakin hana sifa za kuwa mke wangu (sio wife material ) kisa kasoma india na Saivi anafanya Kazi kampuni kubwa hapa nchini basi hata kupika akijaga geto hataki anachonikera zaidi kuja geto kwangu kupaka ma sanitizer yake kwangu kama mganga anapiga ramli

Sasa mimi nnahamu kubwa sana ya motto nataka nmpe mimba huyu Mtu alafu ntokomee pasipojulikana
Unamika mingapi?Nawe hata hujielewi
 
Sasa haya ukitueleza sisi tufanyeje?
 
Back
Top Bottom