Kwa mwenyeji wa moroni comoro

Kwa mwenyeji wa moroni comoro

nanawoo

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
1,312
Reaction score
1,278
Wakubwa shikamoni wadogo marhaba twende moja kwa moja kwenye mada
Jaman nimepata shauku ya kwenda kutembea moroni kwa mwenye kupajua
Msaada vip hotel zao price za kati na kati
Chakula na sehem za kutembelea nikipata mwenyeji nitafurah zaid
 
Anzia google kwanza soma know how basic knowledge kuhusu Comoro kabla hujauliza watu ndio utaratibu, information nyingi unazotaka zipo nyingi tu hapa unakuja kujazia physical knowledge.
 
Wakubwa shikamoni wadogo marhaba twende moja kwa moja kwenye mada
Jaman nimepata shauku ya kwenda kutembea moroni kwa mwenye kupajua
Msaada vip hotel zao price za kati na kati
Chakula na sehem za kutembelea nikipata mwenyeji nitafurah zaid
Nina mtu Yuko huko nifuate PM nikuunganishe nae akupe maelekezo mazuri kuhusu huko
 
Kuna milango mingi ya biashara huko, ni kisiwa kinachotegemea bidhaa nyingi kutoka nje. Ninasikia Wakenya wanapeleka nyama ya ng’ombe na kondoo.
 
Nakushauri ufikie Retaj Hotel. Bei ni kati ya USD 55 mpaka USD 80. Bargaining power itasaidia kupunguza. Usitegemee makubwa, ni pa kawaida sana na vitu vingi wanafungasha Kariakoo. Ukienda na ATC utaona Wakomoro wanavyofanya shopping Bongo. Kama unapenda maisha ya usiku ukifika wenyeji watakupeleka, ila unashauriwa ule hotelini zaidi. Lugha kubwa ni Kikomoro na Kifaransa. Pia Kiingereza na Kiswahili kidogo. Utamaduni haupishani sana na Zanzibar.
 
Shukran nimeenda nimefanikiwa kupata mwenyej kanipeleka sehem inaiitwa magudjuu kanipa appatment dola 30 safi ila kwa chakula jamaa bado sana na pia life yao ya kibinafsi sana na ipo juu chakula karibu chote wana import mchele wanatumia mapembe hawatak wa bongo ila wako local sana
 
Kuna milango mingi ya biashara huko, ni kisiwa kinachotegemea bidhaa nyingi kutoka nje. Ninasikia Wakenya wanapeleka nyama ya ng’ombe na kondoo.
Ni kweli ila matapeli ni weng sana na vitu kweli ghali ila pesa yao inazunguka wanatulia euro pia nimekaa kuwadis sokon kwao pale panaitwa volovolo wapo busy sana
 
Back
Top Bottom