Kwa mwenye ufahamu juu ya software hii

Ngalewa

Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
97
Reaction score
11

Wadau kwa mwenye ufahamu juu ya software ya kuweka caption kwenye image kama hiyo hapo juu anitajie tu jina au link kama itawezekana natanguliza shukrani.
 
Ipo sniping tool inakuja na windows ijaribu hio kwanza.
 
Hyo capture ya gkiwango inahusu ku-unlock modem unaweza kumchek mdau yumo humu anaitwa gkiwango au tafta kwenye mtandao inaitwa qpst
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…