kwa mwenye uelewa na hizi course msaada plz

kwa mwenye uelewa na hizi course msaada plz

Bryce mziba

Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
22
Reaction score
8
Nimechaguliwa udom kwa kozi ya economics and statistics na pia ardhi university nmechaguliwa kozi ya building economics...
Kwa anaejua ipi cozi yenye priority ya mkopo na ajira pia
 
Naamini zote ziko sawa tu. Hazina priority. Omba kile unapenda ukiwa na bahati utapata mkopo.
 
samahani mkuu, me nmeomba diploma udom lkn mpaka sa hv sijapata mrejesho. vp hapo inakuaje ?
 
Nimechaguliwa udom kwa kozi ya economics and statistics na pia ardhi university nmechaguliwa kozi ya building economics...
Kwa anaejua ipi cozi yenye priority ya mkopo na ajira pia
Hizo kozi ni tofauti sana!! Iyo building economics ni nzuri kwa lugha nyingne ni QUANTITY SURVEYOR (QS) ina miaka minne ila hyo nyingn ni uchumi ya kawaida tu!! Kwa market ningekushaur usome BUILDING ECONOMICS JAPO SHULE YA ARDHI SIO POA KWA MAPUUZA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya kuichangamkia BUILDNG ECONOMICS fasta
 
Back
Top Bottom