Ahsante sana Kwa kutusimulia ndoto uliyoota usiku wa leoWakuu, kwa hali ya kisiasa ya style hii katika nchi, kuna harufu pengine jeshi lililo upande wa wananchi likaingilia kati, ipo siku tutalala tukiongozwa na Rais tunayemjua tukaamka na mamlaka ya kijeshi kama ilivyo huko 🇧🇫, 🇲🇱 na 🇳🇪.
Umewahi kuona Siri iliyovujishwa na jeshi?Watu huwa wanachoka, nadhan ukitaka kuelewa hilo jiulize kwa nini wanatoa siri kwa watu fulani ili kuwanusuru!
Kila Jambo Lina mwanzo,angalau Kenya wanaweza,Kwanza nguvu ya umma then mengine yatafuataMambo yakizidi kipimo lolote linawezekana
Pambaneni na Hali yenu, wenyewe mmezubaaSiku hiyo wananchi watafurahi na kusherekea pamoja na jeshi lao kwa ukombozi kamili
Wewe wasemaMapot wengi wanakopeshwa wamejenga,
Wana vijibiashara kadhaa,watake nini tena, yaani ajitese Kwa hiyo kamari kisa wewe fukara
Jeshi lipi unazungumzia linaloonea raia?Wanajeshi gani kwanza unaongolea hawa wenye kuonea raia?. Labda ungesema hata mgambo.
Tumuulize mleta madaJeshi lipi unazungumzia linaloonea raia?
Achana na wakurya hao ni another organism 🕳️Kila Jambo Lina mwanzo,angalau Kenya wanaweza,Kwanza nguvu ya umma then mengine yatafuata