Kwa mwendo huu nitatoboa kweli?

Kwa mwendo huu nitatoboa kweli?

Habri zenu wadau..

Mimi nimekuja hapa kutokana na hii tabia ambayo nimekuwa nayo miaka ya karibuni na naona inazidi kukita mizizi.

Kifupi ni kwamba siwezi kabisa kubembeleza mwanamke, yaan akisema hataki namjibu okay, then nafuta sms dialled calls na namba habari inakuwa imeishia hapo.

Nikimpigia mdada mara mbili asipokee na nikatuma sms asijibu basi ni fasta nafuta kila kitu. Shortly huwa napata shida kubembeleza mtu alafu mwisho wa siku bado nimpe hela.

Yaan eti nikomae ili mifuko yangu itoboke dah nashindwa kabisa [emoji3][emoji3]

Leo nikakaa nikawaza kweli na hii trend nitatoboa kweli, kuna kupata mke kweli? Maana umri nao unakimbia 35 nafikisha miezi michache ijayo.

Huwa natamani nibadilike ila nikikumbuka kipindi cha nyuma nilivyokuwa napambana kupambania mapenzi naona ni ubatili mtupu.
"Soon nitakukabidhi kadi ya uanachama wa "UWABATA" 😂😂😂

Anyway hyo hali n ya kawaida na ni nature ya introvert people. Yan hatunaga muda wa kubembeleza. Mwanamqe akikataa natemana nae naendelea na mishe zangu
 
Nilikua nadhani hii hali ipo kwangu tu yani kubembeleza siku hizi siwezi Ke atakapoanza kutokueleweka ndio imeisha hiyo siangaiki nae.
 
Inategemea na plan B uliyonayo,labda huwa haina mzunguko na unaipata kwa wakati kama sio punyeto labda ni kama yule wangu ambae simpendi kiviile Ila simu moja au sms huyu hapa chapu na anakua na ari ya mchezo,mpaka nilimsave Ambulance yaani fire wakalale
 
Back
Top Bottom