Kwa mwanaume kama huyu unakimbilia nini ndugu?

Kipendacho roho hula nyama mbichi Mkuu.Mimi hapa nina mke na mtoto mmoja pia ni muislamu ila sio wa itikadi kali .Kuna dada ametokea kunikubali mpaka amenitegea ujauzito though sijawahi hata kumgharamia chochote katika ujauzito wake hata huyo binti pia ni mkristo.Na tangu mwezi wa Ramadhani umeanza sijawahi kuonana naye na hajawahi kujutia na huwa anawaza kuwa ipo siku nitakuja kumuoa ingawa sijawahi kuwa na hiyo ndoto kichwani kwangu mpaka huwa namuonea huruma kwa kunipenda mimi mume wa mtu.Muache mwenzio naye akipata mrejesho hasi kutoka kwa huyo mume wa mtu huenda akapata somo na asirudie tena hiyo kitu ila usithubutu kumpa ushauri hasi hata yeye atakuchukia.

Si umfanye wapili sasa
 
Kuingia sehemu yenye majukumu tayari ilhali wasio na majukumu anawatolea nje
Kupenda kwake kusikuumize roho.
Nadhani ninyi mnauchungu kwakua mlimsomesha, mwanaume wake ni class 7, mwanaume wake ni masikini, anaonyesha kumpnda kwa dhati mtu msie mtaka nyie, wivu, na mengine kama hayo.
Ambacho mmekisahau ni kwamba binti ana haki ya kupenda pasipo shuruti, na makubalianao yao ninyi hamyajui.
 
Kwa hiyo hapo tatizo liko wapi?

unadhani walioanzisha usemi wa mapenzi ni upofu walianzisha kwa sababu gani?

sometimes kama mmeshamshauri mtu hajawaelewa ni bora mumuache akajionee mwenyewe. Wenyewe wanasema mtoto akililia wembe.......

Finally una hasira sana na nduguyo kwa jinsi ulivyoandika hapa. Sasa ni bora ufanye yako huyu atakupa pressure zisizo za msingi bureeeee

Mabachela kibao hawana majukumu kwanini avamie kule argh!
 
Mkuu, naona umeandika kwa uchungu sana aiseee.....
Sisi wakubwa tuna semaga mambo hizo hua hazimalizwi kwa nguvu na maneno ya wanadam, zaidi ni muda ndio utakao zungumza na huyo ndugu yenu

Tumemshauri weeee kakaza haelewi Somo! Wee mambo ya uke wenza mhmh Hapana
 
Tumemshauri weeee kakaza haelewi Somo! Wee mambo ya uke wenza mhmh Hapana
Utamu anao upata huko kwa huyo mwanaume, hayupo atakae weza mpatia kati yenu.
Na kama wewe haufurahishwi na uke wenza, wenzio wapo wanao hitaji hata pakupata kivuli, faraja, huba, mahaba, makatiko, uwepo, nyama ya ulimi na vitu kama hivyo.
Ebu kua uyaone aisee
 
Kupenda kwake kusikuumize roho.
Nadhani ninyi mnauchungu kwakua mlimsomesha, mwanaume wake ni class 7, mwanaume wake ni masikini, anaonyesha kumpnda kwa dhati mtu msie mtaka nyie, wivu, na mengine kama hayo.
Ambacho mmekisahau ni kwamba binti ana haki ya kupenda pasipo shuruti, na makubalianao yao ninyi hamyajui.

Hasaaaaaaaa hapohapo!
 
Hello guys!
Nashindwa kumwelewa huyu nduguyetu Si mimi tu hata familia haimuelewi na haitaki kumuelewa hata chembe! She is a graduate na ana kazi yake nzuri tu serikalini kwa mshahara wa degree! Kutokea kupendana kuliko haya maelezo na mume wa mtu mwenye familia kubwa tu ( mke na watoto watano).

Ana uhuru wa kufanya lile ajisikialo


Huyo baba hana mijihelaa wala na hajasoma kaishia lasaba tuseme na wenyewe tu maisha yao yakujikokota ndohivohivo wameridhika nayo tu ilimradi wanavaa wanakula wana pa kulala lakini bidada hasikii haoni kwa mume wa mtu!

Si vema kwa maneno yako kwakua wewe hujikokoti wala siyo ivoivo

Anadanganyika tu nitakuoa nitakuoa huku yeye anauhakika wa kutolea nyege zake nakuzalisha ffala huyu kakaa tu eti anamtunzia! Opportunities kibao wakristu wenye kazi nzuri anawakataa kakazania huyo aliekomaa kiuno tu mmmxxxxxxxxxxiiiiiiiiooouuuu! kila siku anapigwa kalenda bwegemtozeni huyu.

Udini si jambo zuri, we all the same
 
Back
Top Bottom