kwa mwanamke aliyemaanisha kuingia kwenye ndoa.

kwa mwanamke aliyemaanisha kuingia kwenye ndoa.

fisrtman

Member
Joined
Feb 1, 2015
Posts
18
Reaction score
5
Hbr za kupeluz wana jf! Najtokeza kwa mara ya kwanza ktk jukwaa hili nikitafuta mwanamke wa kumuoa. nina miaka 33, nina diploma ya marketing, muajiriwa, mkrito,mtulivu, mcha Mungu.
Sifa za mwanamke nimtakae, mcha Mungu, mwenye mapenz ya dhati, mkristo, elimu yyte. kwa mwenye nia ya dhat anipm plz.
 
kila la kheri, naamini utampata tu japo wakatisha tamaa n weng lakn usiwajali. ila hujasema unataka awe na umr gan?
 
tatzo lenu ukshapata huwa hamrud tena mpaka mtendwe
 
kila la kheri, naamini utampata tu japo wakatisha tamaa n weng lakn usiwajali. ila hujasema unataka awe na umr gan?

ni kweli asante mdau. nataka awe na umri kuanzia 26 mapaka 33
 
nakutakia mafanikio mema, zngatia vgezo vyako utafanikiwa tu
 
la kheri litoke wap? kwa wanawake wa mtandaon?
hebu acha dharau kwani walioko mitandaoni wapo Mbinguni si ndo hawa hawa wa mitaani, shame on you..............halafu usiniquote mana sitakujibu
 
hebu acha dharau kwani walioko mitandaoni wapo Mbinguni si ndo hawa hawa wa mitaani, shame on you..............halafu usiniquote mana sitakujibu

hahahahahahaaa! nicheke mm, kwan ulidhan nakuquote ili unijbu? pole sana tatzo n hyo id yako wew n mtu wa vitu fek ndo maana unaamin katka feki, halafu inaonekana hata tohara hujakwenda? shame on you... na ufaham wako wa kichina
 
kila la kheeer
ila humu kuna watu na viatu
pia vimti na viwatu
mwisho kabisa
viazi
 
Utapata mkuu, ila usiwe unapenda kujinadi sana sifa nyingi nazo c nzuri sana, weka machache tu hapa wakija utamalizia mengine hukuhuko, lakini oh nina degree, sijui masters, nafanya kazi ATM, utapata matapeli hapa. sema machache aliye serious aje mengine atayajua huku huko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom