innocent j
Member
- Jan 17, 2012
- 58
- 9
We will execute all fisadis!!we will make sure all government property retuned to the government!and we will make sure wear resambled as tanganyika.
we mleta mada ni mjinga sana, huwa watu kama wewe ni vigumu sana kubadilika, coz ipo kama haujui nn tatizo la ccm, unataka watu wakwambie, mpaka hapo unaangukia kwenye kundi moja la watu wa hatari sana anayeitwa"hajui na hajui kama hajui" ni matumain yangu unafaidika sana ndani ya ccm na hujui faida hyo unaipata kwa gharama za wa kodi za walala hoi na raslimali ambazo zingewanufaisha wengi
Tutarudisha imani kwa wananchi kwa kufanya yafuatayo:
1.Kwa kurudisha malizote na fedha zilizotwaliwa kifisadi na waliozitwa washitakiwe kwa mujibu wa sheria za nchi.
2.Kusimamia vizuri sheria na katiba ya nchi bila kukiuka sheria na katiba.mfano kula rushwa,wizi n.k.
3.Uzalendo kwa kuweka maslai ya taifa mbele.mfano.kuingia mikataba yenye maslai kwa taifa zaidi.
Bila hivyo tusubirie kuwa chama pinzani tena tutakua chama pinzani ambacho ni dhaifu,manake chama cha kwanza kinaweza kuwa CDM ikafuata CUF,TLP na CCM tukawa wa mwisho huku.
habari zenu wana jf wenzangu? Well ninatakiwa kutoa speech yenye kichwa cha habari "TUTARUDISHA VIPI IMANI YA WANANCHI KWA CCM?" so kama mwana ccm mwenzangu mwenye mapenzi mema na chama chetu plz ushauri wako ni muhimu . No jokes here.MUNGU IBARIKI TANZANIA.