Mvua radi ni kiama huku milima ya Kunduchi. Poke zao watoto kwa radi. Maji yanatiririka ni mito kila mahali. Barabari zimeliika. Tutasikia mengi ikiisha
Njooni sumbawanga watu wana remote cntrl za mvua
Watu wa Dar waoga sana hasa mvua, si wavumilivu kabisa