Moja ya sifa kuu za kiongozi wa taifa nikulinda umoja na amani ya watu wake.
Kiukweli kabisa Mh Magufuli hili tayari limemshinda na sasa taifa kila mtu anasema la kwake. Umoja wetu, mshikamano na amani vipo kwenye mtihani mzito.
Rais hatabiriki wala haeleweki anaitaji nini, amekuwa akitowa matamko ambayo kama taifa nilazima tushituke sasa natukubali funga mikanda turudi kwenye uchaguzi. Bora turudi kwenye uchaguzi au laa tutegemee maumivu makali toka kwa Rais wetu..
Sina uhakika kama usiku wa leo mzee kinana,mkapa,mwinyi,kikwete na mangula wana furaha. Mambo haya yanaendelea sio yakawaida watu wanahofu na wengine wanahisi roho zao zipo mikononi mwa Rais kweli bora turudie uchaguz. Hali ni mbaya sana Raia wana hofu kubwa furaha imetoweka ikiwa amemgusa Nnape who are we?
Nivyema tumpumzishe na tumpe mtu mwingine taifa au vilio vimfikie muumba aje atutete waja wake
Binafsi siamini ninayo yaona nahisi naota.