Kwa mtanzania makini toka familia duni ukipitia hii orodhaya WanaCCM alafu bado unashabikia kishabiki una matatizo

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,170
Reaction score
8,622
Usulutani na ufalme ndani ya Chama ambacho kiliundwa kutetea maslahi ya wakulima na wafanyakazi.

1. Salma Kikwete
2. Ridhiwan Kikwete
3.Wanu Hafidh Ameir
4. Abdul
5. Adul Mwinyi
6. Jesca Magufuli
7. Fred Lowassa
8. Mathayo David
9. Karume
10. Karume
11. Karume

Orodha ni ndefu sana.
 
Maandiko matakatifu yanatukumbusha kuwa Daudi alikua kiongozi wa wana waisrael, Na suleiman ailikua kiongozi wa nchi hiyo hiyo, ukifuatilia kwa makini utagundua kuwa hawa ni mtu na babae, nimalize kwa kusema kuwa hakuna jipya chini ya jua.
 
Usulutani na ufalme ndani ya Chama ambacho kiliundwa kutetea maslahi ya wakulima na wafanyakazi.✌🏿📌🔨
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…