Kwa mtaji wa Tsh. million 7

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Nov 18, 2014
424
1,044
Habari wana JF?

Nina mtaji wa Tsh. million 7 naweza kupata msaada wa kitaaramu wa biashara?

Nimeona niulize pia kwa ushauri wenu kwa ambao mpo humu, naweza kuanzisha biashara gani pale Katoro?

Nakaribisha maoni yenu
 
Kwa 7M. Ukiitaja inaonekana nyingi, ila ukianza kuichakata unatamani ingekuwa 8M, 9M au 10M..

Kama ulipo hakuna hizi biashara fanya utafiti wa kina.

A. Saluni ya Kunyoa ( ulizia mtaji wake na hadhi ya saluni iwe ya kati sio chini sana kwa mtaji huo haiwezi kuwa ya hadhi ya juu)
B. Duka-Genge ( kama majirani waliokuzunguka wanafanya biashara hiyo boresha zaidi usifanye kwa mazoea)
C. Mgahawa-Chips ( fungua mgahawa au tafuta eneo uuze chips kama ukipata wahudumu wazuri na ww ukajitoa ingawa itachukua muda wakuzoee upande wa mapishi... Hapo faida utaiona)

Fanyia utafiti hizo 3.
 
Ahsante sana kwa mawazo
 
Kwa hizo aina za biashara ulizo mtajia kwa m7 bado pesa ni nyingi sana anaweza akazufungua zote kwa pamoja
 
Back
Top Bottom