Kwa mtaji wa Tsh 500,000 naweza kufanya biashara gani?

Ebenezer14

Member
Oct 7, 2022
5
3
Habari wana JF,

Naomba msaada wa mawazo, nina 500k nataka kuanzisha biashara ila sijajua biashara gani itafaa kwa huo mtaji.

Msaada plz
 
Wewe unapenda Biashara na unaweza kuendana na mikiki mikiki ya Biashara?
 
Habari wana jf, naomba msaada wa mawazo, Nina 500k nataka kuanzisha biashara ila sijajua biashara gani itafaa kwa huo mtaji.

Msaada plz
Huwezi kwenda kuomba kazi sehemu ukasema naomba mnipe kazi yoyote, hakuna anaeweza kila kitu

Specify ni Biashara gan unaipenda then upewe ushauri kuhusu hio Biashara, hauwezi kufanya Biashara yoyote kuna Biashara unaipenda itaje na pia zipo Biashara hauzipendi

Ukiambiwa hio 500k ufungue mradi wa kujumua kinyesi cha binadamu kwa ajili ya kutengeneza Biogas, utaipenda hio Biashara?
 
Back
Top Bottom