Jenseny JF-Expert Member Joined Jan 26, 2011 Posts 1,742 Reaction score 1,743 Oct 1, 2013 #1 wadau naish DAR nina mtaji wa laki moja hv naweza kufanya kazi gani! Nipate hela ya kula na kuishi nikiwa nasubiria ajira mwez wa pili*
wadau naish DAR nina mtaji wa laki moja hv naweza kufanya kazi gani! Nipate hela ya kula na kuishi nikiwa nasubiria ajira mwez wa pili*
Top Thinker Senior Member Joined Sep 8, 2011 Posts 183 Reaction score 125 Oct 1, 2013 #2 Jenseny said: wadau naish DAR nina mtaji wa laki moja hv naweza kufanya kazi gani! Nipate hela ya kula na kuishi nikiwa nasubiria ajira mwez wa pili* Click to expand... Nenda pale kivukoni. Nunua kilo 10 za pweza. Jioni ukirudi kutoka kazini chukua meza weka mtaani kwako au pembeni ya barabara then uza kipande 200 plus supu etc. Ps. Usafi wako ndo mvuto kwa wateja.
Jenseny said: wadau naish DAR nina mtaji wa laki moja hv naweza kufanya kazi gani! Nipate hela ya kula na kuishi nikiwa nasubiria ajira mwez wa pili* Click to expand... Nenda pale kivukoni. Nunua kilo 10 za pweza. Jioni ukirudi kutoka kazini chukua meza weka mtaani kwako au pembeni ya barabara then uza kipande 200 plus supu etc. Ps. Usafi wako ndo mvuto kwa wateja.
H Haludzedzele JF-Expert Member Joined Nov 22, 2012 Posts 1,477 Reaction score 534 Oct 1, 2013 #3 daa jamaa kakushauri vzr lkn ama funga maj na juice piga mishe ukiona vp ata karanga za kukaangwa znalipa
daa jamaa kakushauri vzr lkn ama funga maj na juice piga mishe ukiona vp ata karanga za kukaangwa znalipa
Ulukolokwitanga JF-Expert Member Joined Sep 18, 2010 Posts 8,397 Reaction score 7,979 Oct 1, 2013 #4 Hapo huna ujanja, nenda Geza Ulole au Kibugumo kamata shamba anza kulima nyanya, baada ya miezi minne uko safi.
Hapo huna ujanja, nenda Geza Ulole au Kibugumo kamata shamba anza kulima nyanya, baada ya miezi minne uko safi.