2005-2007Habari,
Ya mwaka gani.?!
Mkuu naweza pata Toyota voltz, itakuwa vzuri ukinipa na bei yakeJe, unahitaji gari bora kabisa na kwa bei poa kutoka japan.?!
Kama ndio, wasiliana nami hapa
E-mail : ecarstanzania@gmail.com
Note :
Sema aina ya gari unayoihitaji, oamoja na mwaka wake. bila kusahau
kusema
budget yako ni kiasi gani.
KARIBU
Ya 2003 mkuuHabari,
Inawezekana. Unahitaji ya mwaka gani.?
nahita toyota dyna au toyoace truck 1.5cc ya mwaka 2008/9Habari,
Inawezekana. Unahitaji ya mwaka gani.?
Make : Toyota
Model : Rav4
Mileage : 119000km
Engine size : 2000 cc
Steering : Right
Transmission : Automatic
Ext. Color : Silver
M/Year : 1998
Doors : 5
Seats : 5
FEATURES :
Air Conditioner
Air bag
Power windows
Rear Spoiler
Price : Tshs 18,791,000/=
BEI INAKUA IMEJUMLISHA PAMOJA NA ;
Ushuru [emoji736]
Port charges [emoji736]
Agency fees [emoji736]
Marine insurance [emoji736]
registration [emoji736]
Bima ya barabarani [emoji777]
ecarstanzania@gmail.com
Karibu!
Du toka 1998 mpaka Leo imetembea kilometer 11......elfu tuu, ilikuwa haitumiki???????, ?????????????????
nahitaji hiyo ndogo, unaweza kunipelekea picha yake. je ya 2016 ni kiasi gani?Habari george,
2008 Ile kubwa with 3000cc ambay ina 4 doors
Ni 36,212,000/=
Ile ndogo with 1500 cc
Ni Tshs 19,966,000/=
N.B
Zote mbili ziko chini ya kilometers 80000