sasa mkuu lazima uamin unatabia mbaya sana ya UONGO!!! nimeona siku nyingi tu jinsi unavyodanganya watu humu ndani...nadhani unakumbuka vizuri maswala ya loan na ulisema j3 then j5 baada ya hapo nadhan unajua mwenyewe nini kilichotokea...sasa leo tena umekuja na ka-link(kwenye red) ambako hakaeleweki kana nini(nadhani umenielewa)!!
SASA HII NI KWA MSAADA WAKO...YAKUPASA UBADILIKE..BADILI TABIA...ACHA UONGO,NAAMINI MADHARA YAKE HUTAYAONA LEO ILA BAADAE NA NNA UHAKIKA UTAJUTA TU!!! kumbuka sitaki bishana na wewe ila nataka ubadilike...kwa manufaa yako na ujue hii ni jf na sio fb!!!
Halafu na yeye anajiona kakua kiakili.