Wakuu katika hali yangu ya maisha, nina takribani miezi kadhaa hua nakula mara 2 kwa siku, yaani chakula cha mchana nakula saa nne mfano (samaki na chapati 3, na juice) alafu nakuja kula jion saa 12 au usku mda usio zidi saa 4)...
kwa kufanya ivo, toka mwaka 2019 nmekua na kilo 69, mda mwingine 71 mpaka 70 zinachezea umo) ila mwaka 2018 niliwa kua na kilo 89 ila mwili wangu ulkua hivi hivi...
Kama wataka kupungua zaidiWakuu katika hali yangu ya maisha, nina takribani miezi kadhaa hua nakula mara 2 kwa siku, yaani chakula cha mchana nakula saa nne mfano (samaki na chapati 3, na juice) alafu nakuja kula jion saa 12 au usku mda usio zidi saa 4)...
kwa kufanya ivo, toka mwaka 2019 nmekua na kilo 69, mda mwingine 71 mpaka 70 zinachezea umo) ila mwaka 2018 niliwa kua na kilo 89 ila mwili wangu ulkua hivi hivi...
Naomba ratiba yakoKama wataka kupungua zaidi
Ungepunguza chapati
Ina energy sana kuliko chakula cha wanga chochote, naiheshimu chapati.
Mi nikifanya diet huwa naila mara moja moja sana.
Wakuu katika hali yangu ya maisha, nina takribani miezi kadhaa hua nakula mara 2 kwa siku, yaani chakula cha mchana nakula saa nne mfano (samaki na chapati 3, na juice) alafu nakuja kula jion saa 12 au usku mda usio zidi saa 4)...
kwa kufanya ivo, toka mwaka 2019 nmekua na kilo 69, mda mwingine 71 mpaka 70 zinachezea umo) ila mwaka 2018 niliwa kua na kilo 89 ila mwili wangu ulkua hivi hivi...
Unataka kumchungulia MadamWeka picha yako ya mwanzo na ya leo πππ
Wakuu katika hali yangu ya maisha, nina takriban miezi kadhaa huwa nakula mara 2 kwa siku, yaani chakula cha mchana nakula saa nne mfano (samaki na chapati 3, na juice) halafu nakuja kula jioni saa 12 au usiku muda usiozidi saa 4).
Kwa kufanya hivyo, toka mwaka 2019 nimekuwa na kilo 69, muda mwingine 71 mpaka 70 zinachezea humo) ila mwaka 2018 niliwa kuwa na kilo 89 ila mwili wangu ulikuwa hivi hivi...
Naomba ratiba yako
Mihoho,ndizi,viazi,magimbi zote wangaSina ratiba
Ila nimepunguza kula vyakula vya wanga, nakula mihogo, magimbi, ndizi, viazi na proteins na mbogamboga.
Kuna somo alitoa Prof. Janabi wa Muhimbili linaweza kukusaidia kuelewa zaidi usahihi au utofauti wa kula yako, hebu mtafute youtubeWakuu katika hali yangu ya maisha, nina takriban miezi kadhaa huwa nakula mara 2 kwa siku, yaani chakula cha mchana nakula saa nne mfano (samaki na chapati 3, na juice) halafu nakuja kula jioni saa 12 au usiku muda usiozidi saa 4).
Kwa kufanya hivyo, toka mwaka 2019 nimekuwa na kilo 69, muda mwingine 71 mpaka 70 zinachezea humo) ila mwaka 2018 niliwa kuwa na kilo 89 ila mwili wangu ulikuwa hivi hivi...