Kwa mliochaguliwa DIT, karibuni wahandisi

Abuu Sumaiyah

Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
24
Reaction score
3
Habari wakuu kwa wale wote mliochaguliwa DIT karibu vijana mpate kuwa wahandisi kwa una swali lolote usisite kuuliza ntakusaidia kadri ya nnavyofahamu
 
kwa kozi za engineering udsm na dit wapi bora...??
 
Back
Top Bottom