Kwa milion 3.8 tu endesha mercedes benz salon

Desidery

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
233
Reaction score
78
Niliwahi kuweka post kuwa nauza Gari aina ya Mercedes Benz, bahati mbaya nilikuwa nje ya mtandao na sikuwa napata sms.
Bado ipo naiuza kwa Tsh. 3'800'000/= namba zake T.....AVU IMETEMBEA KM elf 51
rangi Blue.. ipo safi inatembea.. kwa mtu seriaz ni cheki kwenye 0767 83 11 73

gari ipo Dar es salaam, mitaa ya Kijitonyama.
 
Tyta... ana pics zooooooooote
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha mkuu tupia picha kama ishu ni kweli..
 
Niliwahi kuweka post kuwa nauza Gari aina ya Mercedes Benz, bahati mbaya nilikuwa nje ya mtandao na sikuwa napata sms.
Bado ipo naiuza kwa Tsh. 3'800'000/= namba zake T.....AVU IMETEMBEA KM elf 51
rangi Blue.. ipo safi inatembea.. kwa mtu seriaz ni cheki kwenye 0767 83 11 73

gari ipo Dar es salaam, mitaa ya Kijitonyama.

hiyo ni Benz au bajaji umekosea kutype?
 
Niliwahi kuweka post kuwa nauza Gari aina ya Mercedes Benz, bahati mbaya nilikuwa nje ya mtandao na sikuwa napata sms.
Bado ipo naiuza kwa Tsh. 3'800'000/= namba zake T.....AVU IMETEMBEA KM elf 51
rangi Blue.. ipo safi inatembea.. kwa mtu seriaz ni cheki kwenye 0767 83 11 73

gari ipo Dar es salaam, mitaa ya Kijitonyama.

Inaweza kua na UZITO wa kilo ngapi?
 
Nlishawahi kuigonga benz ya mtu barabarani(E class 1997) it was not a serious injury, nikamvunjia taa moja ya mbele. Kwenda kuulizia taa yake dukani nlichoka. It was about 1.4 million na used ilkuwa 800,000/=. Sasa unaponambia benz kwa 3.8 million nnashindwa kuamini, weka na picha tuithaminishe.
 
Tyta... ana pics zooooooooote

AlloyGullwing_104.jpeg
 
loh salalee kama ndio hapo juu basi tena :biggrin1:
 
Usije ukawa unauza yale mabenzi mabovu pale kwa mwarabu kujitonyama wanapouza mbao.
Mi natafuta G Guard kama hii kwa aliyenayo
2013-Mercedes-Benz-G550-Interior.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom