Ongezea moja nikupe brevis[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] namba DHello wadau wa JF.... km kuna mwenye uzoefu na wauza magari kwa mwanza ningependa tujuzane hapa..... Nahitaji gari used iliyo katika hali nzuri kabisa kwa mil.6 , je naweza pata gari aina gani kwa wazoefu wa hizi mambo....
NishakutumiaaKm vipi nichek wasap nione hali yake mkuu en iko wapi hiyo chuma?