Kwa mil.6 napata gari gani nzuri?

Kwa mil.6 napata gari gani nzuri?

Hautapata gari iliokua kwenye mint condition, unaweza lipia iyo nikakupa gari we ukaacha card,ukalipa iliyobaki taratibu,hata laki kila mwezi,pindi utakavyomaliza ndo utachukua card yako,ikiwa ni pamoja na kufanya transfer

Sawa mkuu nashukuru kwahilo but nahis sitaweza hiyo ngoja niendelee na kutfuta km nitahitaji kufanya hivyo bas takuchek mkuu okey
 
usidanganywe kwa hiyo mil 6 yako utalia ukiagiza! hakuna nyota utaacha kuona! kama huamini agiza!

Haya mambo ya biashara ya kuagiza pia huwa na mashaka nayo sana bor kitu unachokiona tuu
 
Atalia machozi acha watu wamdanganye. Storage tu ya siku ataweka mikono kichwani hapo ukute ni ki ist au vitz tu.
usidanganywe kwa hiyo mil 6 yako utalia ukiagiza! hakuna nyota utaacha kuona! kama huamini agiza!
 
Kwahiyo pesa unapata gari nzuri na ikiwa kwenye hali nzuri endapo hutokuwa na papara, haraka na utafute taratibu tu madalali wasikuchanganye!!!
 
Hello wadau wa JF.... km kuna mwenye uzoefu na wauza magari kwa mwanza ningependa tujuzane hapa..... Nahitaji gari used iliyo katika hali nzuri kabisa kwa mil.6 , je naweza pata gari aina gani kwa wazoefu wa hizi mambo....
Kama hela ya mafuta sio issue kwa hela hio unapata Brevis,GX100/110 nzuri sana
 
Au niongee na Mr wangu,akupe brevis,no D,engine capacity 2500cc.colour maroon,imported from Japan

Ebu fanya hivyo mkuu alaf nitumie picha zake nione hali yake unaeza kuja pm km vipi.....
 
Kwahiyo pesa unapata gari nzuri na ikiwa kwenye hali nzuri endapo hutokuwa na papara, haraka na utafute taratibu tu madalali wasikuchanganye!!!

Na madalali ni shida siku hizi wamejaa utapeli sanaaa nililetewa gar ila duh niliwah kushtuka mkuu sema ndio hivyo inahitaj akil sana ktk hil jambo
 
Back
Top Bottom