Mkuu nakushauri uagize used from japan..ukiongeza milioni moja or mbili hapo ukiwatembelea mawakala wa kuagiza magari watakushauri gari gani ya kuagiza kwa iyo pesaHello wadau wa JF.... km kuna mwenye uzoefu na wauza magari kwa mwanza ningependa tujuzane hapa..... Nahitaji gari used iliyo katika hali nzuri kabisa kwa mil.6 , je naweza pata gari aina gani kwa wazoefu wa hizi mambo....
Good advice,Mkuu nakushauri uagize used from japan..ukiongeza milioni moja or mbili hapo ukiwatembelea mawakala wa kuagiza magari watakushauri gari gani ya kuagiza kwa iyo pesa
Njoo PM tupeana namba nikurushie picha nikupe kirikuu ufanyie biashara au kama kwa shughuli zako Mitsubishi, hata ukitaka nakuletea huko Mwanza toka MoroHello wadau wa JF.... km kuna mwenye uzoefu na wauza magari kwa mwanza ningependa tujuzane hapa..... Nahitaji gari used iliyo katika hali nzuri kabisa kwa mil.6 , je naweza pata gari aina gani kwa wazoefu wa hizi mambo....
akuongeza 1.8m anapata duet safiMkuu nakushauri uagize used from japan..ukiongeza milioni moja or mbili hapo ukiwatembelea mawakala wa kuagiza magari watakushauri gari gani ya kuagiza kwa iyo pesa
Unapata,tulia tu usiwe na haraka.Hello wadau wa JF.... km kuna mwenye uzoefu na wauza magari kwa mwanza ningependa tujuzane hapa..... Nahitaji gari used iliyo katika hali nzuri kabisa kwa mil.6 , je naweza pata gari aina gani kwa wazoefu wa hizi mambo....
Njoo PM tupeana namba nikurushie picha nikupe kirikuu ufanyie biashara au kama kwa shughuli zako Mitsubishi, hata ukitaka nakuletea huko Mwanza toka Moro
Umemshauri vizuri sana mkuu,maana haya ya mkononi wengine si waaminimu sanaMkuu nakushauri uagize used from japan..ukiongeza milioni moja or mbili hapo ukiwatembelea mawakala wa kuagiza magari watakushauri gari gani ya kuagiza kwa iyo pesa
usidanganywe kwa hiyo mil 6 yako utalia ukiagiza! hakuna nyota utaacha kuona! kama huamini agiza!Okey shukrani mkuu kwa ushauri wako ngoja niufanyie kazi....
Ipo 6 kamili haizid zaid ya hapo mkuu tunaenda na bajet
Hiyo pesa unapata gari nzuri kabisa kikubwa usiwe na papara kuna watu wamepigika mbaya hata 5 anakuachia...Ipo 6 kamili haizid zaid ya hapo mkuu tunaenda na bajet
Kweli mkuu...na wengine wanauza gari ambalo lishaanza kumsumbua na lina matatizo makubwa...so ukinunua gari kama hilo unaanza kuingia gharama kubwa za matengenezo kila sikuUmemshauri vizuri sana mkuu,maana haya ya mkononi wengine si waaminimu sana
Nikweli unakuta cost za matengenezo ni kubwa zaidi,kununua gari mkononi ni kama kucheza kamariKweli mkuu...na wengine wanauza gari ambalo lishaanza kumsumbua na lina matatizo makubwa...so ukinunua gari kama hilo unaanza kuingia gharama kubwa za matengenezo kila siku