Kwa mganga MziziMkavu.....

Mbona kama vile hana Biology?

Mpwa mkono wa kulia huo ndo umemfanya jamaa aonekana ana "History" tu,

Nimependa tu pozi la kuku hapo juu................ka-relux hujawahi ona
 
Mpwa mkono wa kulia huo ndo umemfanya jamaa aonekana ana "History" tu,

Nimependa tu pozi la kuku hapo juu................ka-relux hujawahi ona

Chifu, hii si mambo ya Tunduma kweli? Kwa mganga donoa donoa?
Kama ni huko, huyo kuku ana kazi yake hapo; jamaa mkononi atakuwa kashika punje za kipunga, sasa kuku ana kazi ya kudonoa punje (kula). Idadi ya punje atakazodonoa, zitamaanisha miaka ambayo huyo mjomba atakuwa tajiri balaa. Hizi zipo sana Tunduma na Mbozi.
 
Mpwa mkono wa kulia huo ndo umemfanya jamaa aonekana ana "History" tu,

Nimependa tu pozi la kuku hapo juu................ka-relux hujawahi ona

Hajarelax huyo kuku. Nilimsindikiza jombi kwa sangoma wake kisarawe mwaka 2003, nikayashuhudia mambo haya ndio nikaona kweli ukiwa na shida akili huwa inahama.

Yule jamaa yangu alimsifia sangoma wake kwamba ni mtaalam kiasi kuku anamtii. Mimi sikuamini kama anayoyasema ndio anayoamini kwa sababu mimi na yeye wote tulimuona sangoma akimshika yule kuku na kumzungusha juu ya kichwa cha jamaa yangu takriban mara 7 hivi huku akisema maneno fulani. Mimi nikaona sina haja ya kubishana naye kwani hatanielewa.

Tulipokaribia maskani, nilimwambia tupitie kwa bi mkubwa wangu. Nikaingia bandani na kumchukua jogoo mmoja mkubwa na mimi nikamzungusha hewani mara kadhaa na kumuweka kichwani kwangu. Jamaa akawa hanielewi namaanisha nini. Ndio nikamwambia G....E, JOGOO HARUKI KWA SABABU ANASIKIA KIZUNGUZUNGU, badala ya kunishukuru, alinichukia kwamba nimemdharau sangoma wake
 
Kwa mtindo huu, anawafaidije wake za watu!!!ngoma inogile mwee!! sipati picha, haswa kwa wale wanaosaka dawa za mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…